RFI Kiswahili
Kenya
English
About
RFI ni inajihusisha na masuala ya sasa, kituo cha redio ambacho kinatangaza duniani kote katika lugha za kigeni 16 na kifaransa. (* Kifaransa, Kiingereza, Kikambodia, Kichina, Kichina cha jadi, Kihispania, Kihausa, Kimandinka, Fulfulde, Kiswahili, Kiajemi, Kireno, Kibrazili, Kirumi, Kirusi, Kiukreni, Kivietnam ) Kinategemea utaalamu wa timu yake ya wahariri wa mjini Paris na mtandao wa kipekee wa kimataifa wa waandishi wa habari 400 ili kutoa taarifa za habari na makala ambavyo uwapa wasikilizaji ufunguo wa kuelewa dunia. Takriban watu milioni 40 wasikilizaji dunianiwanasikiliza RFI kila wiki na majukwaa yake ya vyombo vya habari uvutia watu milioni 10 kwa mwezi wanaotembelea mtandao.
Related Stations
CountryPride Fm
Kenya
Nagari Radio
Kenya
AIPCA RADIO
Kenya
GeekSpeak Radio
Kenya
Rainbow Radio Kenya
Kenya
Smash Jam Radio
Kenya